Law school

Rosena

Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
51
Reaction score
4
Hivi utaratibu wa kuingia Law school ni upi? maana tunaona mwenzetu mmoja mtoto wa kigogo (Six) tumemaliza naye Bachelor of Law Tumaini university Iringa, hata kabla majibu hayajatoka tayari mwenzetu yuko Law School!! sasa huu ni utaratibu wa wote au kwa watoto wa vigogo tu? Nauliza swali waungwana.
 
:majani7:sisi wakina kapuku wadogo zetu wanapigwa tarehe kama za clinic. Dr Ndika na Lubengo acheni urasimu au LAW SCHOOL nayo imeshageuka kijiwe cha siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…