Nimeona barua yenu ya kuwafungia katarama luxury kwa kile mnachodai wamechezea VTD,nilitegemea mngefungia pia na makampuni mengine kama Allys ,Happy Nation na New force...
Hili la kuvichezea laweza kuwa nadharia tu. Waende mahakamani wakakomae nao. Hapa LATRA hawezi kutoboa.Cha ajabu wanaovichezea hawachukuliwi hatua
Ila mzee Katarama anazidi kua wa moto aiseh aiseh 🙆Nimeona barua yenu ya kuwafungia katarama luxury kwa kile mnachodai wamechezea VTD,nilitegemea mngefungia pia na makampuni mengine kama Allys ,Happy Nation na New force....
Hivi akitoka Dar hufika Dom saa ngapi?Ila mzee Katarama anazidi kua wa moto aiseh aiseh [emoji134]
Sifaham nitakudanganyaHivi akitoka Dar hufika Dom saa ngapi?
ChaiNimepanda katarama Dar -Mwz tulifika Nyegezi saa nne kamili usiku,gari ipo comfortable sana.
Saa Sita Na Nusu Chap Na Hapo Amezingatia Taratibu ZoteHivi akitoka Dar hufika Dom saa ngapi?