Yale ya kijinga Watanzania ndio uyashabikia kwa sana,ila yale yaliyo ya msingi hayana nafasi kwetu,na huu ni utaratibu wa ajabu na wakijing kabisa tuliojiwekea kuanzia katlkati mwa miaka ya tisini,kalale pema peponi Dr F. Masau,ulikua mzalendo wa dhati uliyetumikia taifa lisilojua nini maana ya uzalendo bali lenye kuthamini ubinafsi,wizi,rushwa na ufisadi!ukweli utabaki kua ukweli,wewe ni zaidi ya wao