Last evening at Capetown Fish Market.....!!!

mkuu unapenda show off,hapa unawatamanisha tu wachuchu,si unajua hiki kipindi kigumu,watu tumerudi katika chukuchuku
 
mkuu unapenda show off,hapa unawatamanisha tu wachuchu,si unajua hiki kipindi kigumu,watu tumerudi katika chukuchuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana mkuu sina maana hiyo. Siku 1² sio mbaya mkuu
 
Hahaa nilijua tuu itakua ni diko. Bila shaka una degree ya sayansi kimu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na nlijua tu utacomment mkuu. Hujadeviate sana from the truth, nna bachelor degree in hotel mgt & food production
 
Hapo mahali hapo....Mhhhh sitarudi tena,kuna "wanaume" suruali wengi sana hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…