Siku za mwisho zinapofikia mambo yasiyotarajiwa yatatokea duniani ikiwemo familia kufarakana! But talaka 8 si utaonekana una matatizo? Ni aibu! At his age!! Larry King anaonekana ni matatizo katika relationships! Atafutiwe counselor!!!
Ila jamani wanaonekana wakipose vizuri sana katika picture!!! Hiyo ni nini hasa? Au wanaonyesha kupendana mbele za watu but wakirudi ndani ni mzungu wa nne? So sad to their young children!!!