ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 812
- 1,942
Kama hata ujauliza kazi yenyewe ni nini umesha anza kulia lia. Kazi complex kwangu inaweza kuwa rahisi kwako. Watanzania bwana. Tunatafuta sababu tu ya kuto fanya kazi.Kazi ngumu sana pesa mchuzi. Bongoo bhanaaaa
Kama unaweza fresh tu. Ili mradi kazi iende.Sisi wazee hatukaribishwi 😉 ?
HAHAHAAH .Kama hata ujauliza kazi yenyewe ni nini umesha anza kulia lia. Kazi complex kwangu inaweza kuwa rahisi kwako. Watanzania bwana. Tunatafuta sababu tu ya kuto fanya kazi.
Basi pambana na ajira bwana ishu.
Kama ni hivyo sikuona sababu ya wewe ku comment. Ila fresh siyo ishu.HAHAHAAH .
Mimi natengeneza Pesa kwa project zangu.
Siwezi kulilia kwa hivyo vipesa naingiza wiki haijaisha.
details zaid mkuu ikiwezekana tuma na documentation ya marekebisho PM itakua poaAnahitajika mtaalamu wa laravel na VueJs kwa ajili ya project maalumu ikiwa na uwezekano wa kazi ya kudumu.
Project inahusu kufanya maboresho ya system/website kwa kubadili logic na kuongeza features kadhaa.
System imetengenezwa kwa kutumia Laravel 7 na VueJs with complex logics, user types and calculations. Changes zitahitaji both backend na frontend.
Naweza kusema project ni ngumu na complex hivyo ni lazima uwe vizuri sana.
Kulingana na uwezo wako, inaweza kukuchukua mwezi mmoja na utafanyia kazi popote ulipo.
Kuna budget ya mpaka Millioni 2.
Karibuni vijana.
Shukrani boss. For one I don't do Laravel, and not willing to get dirty hands on it. Also there some ongoing projects that eats a great cake off my little time.
But si ungejaribu hata kuelewa kazi yenyewe then negotiate fair deal. Ikishindikana sio kesi.Kazi ngumu sana pesa mchuzi. Bongoo bhanaaaa