Sasa huyo Lara1 ndio nani, mshauri wa ndoa?, mume mpya ama ni nani?, sijui kwa nini wanawake wanakuwa wepesi sana wa kuwaamini wenzao hata kama wanadanganywa ili mradi wakiona mwenzao ni mjanja mjanja tayari keshaingia kingSalam wanau..leo nimebeba mabegi yangu na mtoto na kurudi kwetu ili nijipange.ndoa yangu ya miaka miwili na mtoto mmoja ni ndoa ambayo nilikuwa najivunia kwa watu mume wangu hana daily zozote za kucheat na hataki nifanye kazi anasema anawivu sana na anataka nizae kila mwaka.sasa jana kalala kaaacha simu yake nikaichukua kutumia Google kidogo ndipo nilipofungua history nilikuwa video chafu sana na booking za hotels na marina ya wanawake nilikuwa sana na kaondoka asubuhi kurudi kwetu ili nijipange kimaisha naona ni kufajana tu kama asemavo Lara1.je ungekuwa pahala kwangu ungefanya nini?
Kuna watu wengi nahisi walizaliwa usiku wa mwaka mpya huu ndani. Hapa kuna walakini kaka mkubwa Sio bureHivi kuna shida gani na hii tarehe 1st of January 1970? Huyu naye ni new member na kazaliwa tarehe hiyo ni mtu wa tano ndani ya week moja kugundua hili sijui wako wangapi?
Halafu wote ni new members! Halafu wote mode ya uandishi inafanana! JF inachezewaKuna watu wengi nahisi walizaliwa usiku wa mwaka mpya huu ndani. Hapa kuna walakini kaka mkubwa Sio bure
Humu JF kuna mengi sana aisee. Halafu matukio yao yanafanana hivi sanaHalafu wote ni new members! Halafu wote mode ya uandishi inafanana! JF inachezewa
Halafu mara nyingi location ni mojaHumu JF kuna mengi sana aisee. Halafu matukio yao yanafanana hivi sana
Halafu wote ni new members! Halafu wote mode ya uandishi inafanana! JF inachezewa
MMU au love connect.Halafu mara nyingi location ni moja
Nakumbuka mwaka 2012/13 ulifanyika mchujo wa post aisee walikamatwa wengi kweli, sasa hii hali inajirudia kwa kasi kuna umuhimu wa kufanya tena hili zoeziLOL! Si ajabu wachangiaji humu hatuzidi mia hamsini (150).
Ngoja "aneng'eneke" kwanza. Maadam ameishajulikana hatupi shida mkuu.Nakumbuka mwaka 2012/13 ulifanyika mchujo wa post aisee walikamatwa wengi kweli, sasa hii hali inajirudia kwa kasi kuna umuhimu wa kufanya tena hili zoezi
Uzuri wa hizi ID za 1st of January 1970 hazigombani na mtu hata siku moja ziko humble kweli, shida iko kwa wale ambao ukimshinda kwenye hoja fulani anarudi na ID nyingine maalum kwa ajili ya kukashifu kukukejeli na matusi
Nakumbuka mwaka 2012/13 ulifanyika mchujo wa post aisee walikamatwa wengi kweli, sasa hii hali inajirudia kwa kasi kuna umuhimu wa kufanya tena hili zoezi
Uzuri wa hizi ID za 1st of January 1970 hazigombani na mtu hata siku moja ziko humble kweli, shida iko kwa wale ambao ukimshinda kwenye hoja fulani anarudi na ID nyingine maalum kwa ajili ya kukashifu kukukejeli na matusi