Laptops bei poa,nahitaji wateja,nashindwa kuzitangaza!

Laptops bei poa,nahitaji wateja,nashindwa kuzitangaza!

mpya na za zamani ok bei hp probook ni laki 6 na nusu yenye hdd250 gb ram 2gb ni core i3
 
Hilo eneo unalouzia umewaeleza makabaji wasiwakabe wateja wako
 
hdd 250gb/ram 2gb ni intel R CORE TM i3 ni HP PROBOOK
na zingine nyingi;
napatikana temeke / tandika 0717525251!

MIE NATAKA BETRI YA PAVILION DV7 MODEL DV7-2020eo ni pm kama unazo, ama kama zinapatikana mahala nipe mwelekeo
 
Hili Genge lenu linaonekana ni la wahuni zaidi kuliko la wajasiriamali wenye maono ya mbali!!!! Ni jambo zuri kupromote site yenu, lakn njia hz mnazotumia zinakuwa kama za kiutapeli flan!!
 
Analalamika eti hapati wateja wakati kumbe ni yeye hajui bei za bidhaa zake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom