Laptop za bei rahisi

Laptop za bei rahisi

Computer nyingi used hapo kariakoo ni Computer zilizoshindikana yaani wamezipaka rangi Juu na na ile brand name kwenye computer kwa nje wameirudia kuiandika tena kwa rangi za kawaida.


Niliinua computer yangu mwaka Jana mwezi wa 6 ,kwa nje imeandikwa HP ila ndani kwenye "My Computer " imeandikwa Dell ..


Internal hard disc Kwenye Box lake ilikuwa imeandikwa Ni GB 350 , ila baada ya kuitumia Nilikuta Ni GB 200 , sasa hapo sijasema performance yake kwa ujumla ni mbovuuuuuuuuu sijapata ona. Mimi sio Mara ya kwanza kununua bidhaa za electronics kariakoo.


Ila nawashauri kama una hela acha kununua used computers kariakoo ni bora ununue Kitu kipya kabisa mbali na hivyo utakuja lia.


NB: Baadae nitaweza kukuwekea hizo picha mjionee
Kwa maelezo yako inaonekana huna ujuzi na mambo ya computer..pole sana kwa yaliyokukuta... Siku nyingine ukitaka kununua pc mtafute mtu mwenye utaalam uende nae..hiyo conclusion uliyotoa sio sahihi sababu kuna pc mpya kabisa lakini performance yake ni mbovu sana... Kuna matoleo ya hp... Dell... Lenovo.. Nk ambayo ni mabovu sana...tafuta mtaalam
 
Computer used,mafriji,sub buffer, TV ,nunue Zanzibar mtapata vitu vya maana ,Dar uzinguaji tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom