Laptop yangu inatatizo la charging system

Laptop yangu inatatizo la charging system

Joined
Dec 24, 2019
Posts
12
Reaction score
2
Laptop yangu inatatizo la charging system haipokei chaji, nimepeleka kwa fundi anarekebisha ila baada ya muda tatizo linarejea tena.
Naomba msaada wenu kama kunafundi mzuri anisaidie.
Asante
 
Habari ndugu. Haujasema Uko wapi Mkurugenzi wangu
 
Back
Top Bottom