Fanya Key Remapping kwa kutumia KeyTweak.
Kama kuna button huitumii kwenye Keyboard yako download KeyTweak halafu hamisha hiyo backspace kwenye button nyingine. Button kama Shift, Ctrl & Alt zipo mbili-mbili chagua moja hamishia hapo.
Hii ndiyo njia rahisi badala ya kupeleka kwa fundi au kununua Keyboard mpya.