Laptop yangu inanisumbua

Laptop yangu inanisumbua

Massawe mtata

Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
36
Reaction score
13
Laptop yangu kila nikiiwasha inaniandikia BOOOTMGR is corrupt. The system cannot boot. Nashndwa cha kufanya naomba msaada wenu wadau
 
bootmgr ndo huiambia bios itatoa OS wapi. tafuta cd ya windows uliyonayo boot from the cd na repair. its as simple as that
leh
de8yv8.gif
 
Last edited by a moderator:
washa lap yako ikiwaka ingia setup ya bios mara nyingi ni f2 weka default setting
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom