Sasa boss kwanza naomba utupe model number ya hiyo mashine, mara nyingi kwa acer huwa kunakuwa na kikaratasi kwa upande wa chini ya laptop au upande wa kulia mwa mouse (Touch pad) kwahyo ukikiona hicho kikaratas ebu chek watakapo kuwa wameandika neno ...Acer aspier..........
Ukishindwa kujua model number nayo sio shida, kuna baadhi ya njia za kufanya kama ifuatavyo:
1. kama pc yako ina internal battery basi itakuwa imafanya overcharging kwahyo inatakiwa itolewe kwa mda na mashine ifanyiwe discharge baada ya hapo itawaka freshh.
2. kama ina external removable battery basi hapo kuna kuwa na issue nyingine kama vile electric shock au fail ya kitu chochote ndani ya mashine kwahyo hii itahitaji checking kubwa zaidi. Kama itakusumbua zaidi nichek kwa number 0658020361,... Nipo Ubungo Plaza Dar es salaam.