Laptop yangu imegoma kuwaka

Laptop yangu imegoma kuwaka

chemical13

New Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
3
Reaction score
0
Juzi nilikuwa natumia laptop yangu kama kawaida baadae nikachomeka powerbank kwenye port moja ya laptop, ilizima ghafla na haiwaki tena, msaada nn tatizo
 
Toa betri ukae Kama nusu SAA uweke halafu washa
 
Back
Top Bottom