Laptop ya mkopo

Maho gel

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
308
Reaction score
99
Jamni natafuta laptopmpya nina 300000 sasa ninaomba kujua sehemu ambayo wanaweza kunipa lakini nimalizie hela baadae nna soft copy nyingi jamani naomba mnisaide ushauri au sehemu wanazokopesha na ushauri, nipo dar chuo cha mlimani
 
yah i think charity begins at home
 
Jamni natafuta laptopmpya nina 300000 sasa ninaomba kujua sehemu ambayo wanaweza kunipa lakini nimalizie hela baadae nna soft copy nyingi jamani naomba mnisaide ushauri au sehemu wanazokopesha na ushauri, nipo dar chuo cha mlimani

mkuu tatzo Ww unataka mpya ila kama ukikosa hyo yamkopo nitafute na hyo ela yako tufanye biashara 0713943432
 
Jamni natafuta laptopmpya nina 300000 sasa ninaomba kujua sehemu ambayo wanaweza kunipa lakini nimalizie hela baadae nna soft copy nyingi jamani naomba mnisaide ushauri au sehemu wanazokopesha na ushauri, nipo dar chuo cha mlimani

Nipo mbali ningekupa kwa hiyo bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…