Laptop toshiba for sale

Oct 12, 2010
70
7
Details,

processor ni 2.2 duo core
ram ni 2gb
hdd ni 500gb
webcam
wireless internet

price 650,000/=

contact 0717 038035
 
Mi nataka mzee...weka picha zake hapa/...nipo tanga
kama upo dar nije wikied hii
 
Hata mie nina laptop ya details kama hizo za kwako, lakini nikiamua kuiuza haitanunulika, kwa sababu imechakaa.

anayeteleza ni nyani sio miti ya kwangu imetumika wiki 3 tu ni mpya na iyo bei uwezi kupata sehemu yeyote ile so dont make comparison
 
anayeteleza ni nyani sio miti ya kwangu imetumika wiki 3 tu ni mpya na iyo bei uwezi kupata sehemu yeyote ile so dont make comparison
Urasa usiseme huwezi ukaipata sehemu yoyote ile, pale game wanayo dizaini kama hiyo kwa 530,000. sasa wiki tatu ndo ilizotumika tz au pamoja na south africa? maana inaweza ikawa south africa imepiga kazi mwaka mzima halafu tz ndo ikawa imepiga wiki tatu. mi nahitaji, ntakufuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom