Laptop Nzuri

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
Wadau laptop Nzuri na yenye bei ya standard ni ipi,naomba kujua specifications kutoka Kwa wataalamu tafadhali

Natanguliza shukrani
 
Laptop nzuri ni yenye specs hizi:
Processor: Duo core na kuendelea
RAM: 2GB na kuendelea
Hard Disc Drive: 250GB na kuendelea
Pia iwe na webcam, DVD-RW,

Brand nzuri ni pamoja na Toshiba, Dell, Compaq

Walau ukiwa na laki 6 unaweza kupata laptop nzuri
 
upo maeneo gani na bajei yako inasoma vipi ili tukuelekeze maduka ya uhakika ambako hamna ubabaishaji na service nzuri?
 
elezea pia naure ya kazi utakazofanyia ili tukupe direction ya machine yenye specifications zitakazoendana na kazi zako.
 
Laptop nzuri ni yenye specs hizi:
Processor: Duo core na kuendelea
RAM: 2GB na kuendelea
Hard Disc Drive: 250GB na kuendelea
Pia iwe na webcam, DVD-RW,

Brand nzuri ni pamoja na Toshiba, Dell, Compaq

Walau ukiwa na laki 6 unaweza kupata laptop nzuri

Mkuu Vipi kuhusu Lenovo na HP 4gb RAM na terabyte hard disk Kwa 550,000
 
Nzuri sana, lakini ni mpya kweli hii kwa bei hiyo? processor je? maana kuna uhuni utakuta jamaa wanaongeza hard disc na RAM lakini kumbe processor ni ndogo sana maana kwenye pc cha kwanza ni processor RAM na HDD unaweza kubadili muda wowote

Processor inatakiwa iweje hebu dada vua kidogo,na ni mpya Ina guarantee ya mwaka mzima
 
Anayekuuzia laptop anatakiwa akuambie processor yake na siyo akuambie RAM tu na HDD, wanaficha processor kwa sababu utaingia mkenge kwa kuona HDD na RAM ni kubwa kitu ambacho si mhimu kwa PC.

Upo hapo?

Processor inatakiwa iweje hebu dada vua kidogo,na ni mpya Ina guarantee ya mwaka mzima
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…