Laptop Latitude E7250 intel inside CORE i5 (dell)

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
15,911
29,882
Wandugu, nilinunua laptop yenye spec hizo hapo juu approximately 3 weeks ago (Nina Kila kitu Chake), na Box kwa bei ya: $800. Is a very good dell laptop. Sasa nimepata ka project wamenipa mpya na ninaona niiuze tu.

Ina features:

- Portable, very good size - slim.
- Hard disc - 32-GB
- Ram - 8GB.

Nitaiachia kwa: 1.3 - maongezi yapo. PM.
 
Maisha haya kiongozi hiyo huwezi kuita "kukanunua...!" bali ulijitutumua "kulinunua" hilo li-Latitude manake ni heavy duty hiyo kitu; sema ndo vile tu!!

Ha ha ha ha, haya mkuu. Huwa kazi zangu ni kwenye computer, ili niwe na hapetite na kazi I always struggle for the best.
 
Laki moja na thelathini?!..
Mkuu, nikikuacha Leo ntakuwa naidhurumu nafsi... Huwa nafuatilia sana komenti zako kwenye mambo ya uuzaji na ununuzi...

For sure Kiongozi una dharau sana, badikika Mkuu, maisha hayako hivyo.

Mtu anapotangaz biashara yake, Jaribu kuwa muelewa...

Haipendezi....
 
Mwana mi nimekuuliza tu nikidhani umekosea... kwani 1.3 ni bei za MACBOOK.... na kama kuuliza kwangu ni dharau, basi hata huyo jamaa uliyemwambia 1.3 na yeye akakwambia ana 500k basi naye kakudharau.
 
Mwana mi nimekuuliza tu nikidhani umekosea... kwani 1.3 ni bei za OMAC.... na kama kuuliza kwangu ni dharau, basi hata huyo jamaa uliyemwambia 1.3 na yeye akakwambia ana 500k basi naye kakudharau.

Usijitetee una dharau, na ur close minded, kama 1.3m ni bei za OMAC (whatever you mean), doesn't mean hakuna brand nyingine za bei hiyo. Kuna dell/hp na other brand za mpaka 4m/laptop. Uache ujinga. Afterall hapo juu umeambiwa mtu kanunua laptop yake kwa $800, kumwambia laki na thelathin is a very serious Joke. NI HAYO tu ndugu yandu, BADILIKA KAMA MKUU ALIVYOSEMA.
 
Imenichukua muda mrefu kujifunza tabia hii... tena
walimu wakiwa ni members wa jf... naweza kubadilika kama mnachokiita dharau ninazokutana nazo humu zitaisha... otherwise endeleeni kunivumilia.
 
Ukiona unaonewa, endelea tu hivyo hivyo, lengo la kurekebishana ni kusaidiana, lakini kuwa na maoni yako tofauti ni haki yako ya kikatiba, na kama waona upo sahihi ni sawa, pengine sisi tunakosea. Nakutakia siku njema ndugu yangu.
 
Mwana mi nimekuuliza tu nikidhani umekosea... kwani 1.3 ni bei za MACBOOK.... na kama kuuliza kwangu ni dharau, basi hata huyo jamaa uliyemwambia 1.3 na yeye akakwambia ana 500k basi naye kakudharau.
Duh! Hivi unaweza kulinganisha 130K na 500K?! Hivi huoni kabisa kwamba niliyetaja 500K nia ilikuwepo kabisa sema tatizo ndo tatizo lenyewe la kuishia kutaja 500K?!! Hivi seriously unaweza kusema with confidence ulikuwa serious uliposema 130K out of 1.3M?!

Nah man, tuwe wakweli bhana; umeleta masihara kwenye biashara za watu!!!
 
Nizoeeni wana... mi bidhaa zote ninazonunuaga jf, huwa nanunuaga kwa masihara.... so masihara yananisaidiaga kwa kweli..
 
Mwana mi nimekuuliza tu nikidhani umekosea... kwani 1.3 ni bei za MACBOOK.... na kama kuuliza kwangu ni dharau, basi hata huyo jamaa uliyemwambia 1.3 na yeye akakwambia ana 500k basi naye kakudharau.
Mkuu hiyo mac book gani ya 1.3 au unazungumzia dola sio Tsh? Kwa bei hiyo ni chinese black market sio original. Kwa del latitude aliyoitaja hiyo bei ndio sahihi semanayeye tatizo lake secondhand product anataka kuuza kama brand new product.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom