Laptop Laptop

ANTHONY KWEKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
956
Reaction score
380
Ndugu,
Ni aina gani ya laptop ambayo ni nzuri zaidi??
Je kuna ukweli wowote kwamba Acer huwa zinagoma keyboard ?? Msaada tafadhali
 
Mkuu tafuta dell au toshiba.
Angalau yenye hdd 500, ram 2-4 gb, processor angalau ya 1.67ghz, kuwa makini na betri kukaa na charge angalau betri lihifadhi charge kuanzia masaa mawili (2) na kuendelea
 
nimejaribu fanya pre survey kusaka minloptop toshiba na dell kama mtihani vile. Nyingi compaq, hp, acer, sumsung, g.machine
 
dah hili swali hivi kuna wiki inapita bila kuulizwa humu ndani kweli...?? kuna mathread kibao ya kitu hikihiki..
 
Ndugu,
Ni aina gani ya laptop ambayo ni nzuri zaidi??
Je kuna ukweli wowote kwamba Acer huwa zinagoma keyboard ?? Msaada tafadhali
Kunawezakuwa na ukweli kuhusu acer maana mi ya kwangu imesumbua key board mpaka nimeamua kuisusa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…