samahan mkuu,katika hizo laptop ulizotumia hapo juu,ipi kati ya hizo ulienjoy vya kutosha.. i mean performance, battery kutunza chaji,umadhubuti n.k,, i will really appreciate to hear from u.
Acer; niliitumia kwa muda mrefu sana, cheap, sikuwahi kupata shida za joto. kwasasa ipo ila battery yake imekufa (bila umeme inakaa dakika 5 tu. mwanzoni ilikuwa inakaa mpaka masaa matatu)
Samsung; ilikuwa nzuri sana. Nilimpa ndugu yangu aendelee kuitumia.
Lenovo; its superb!
ok thanks,nitajaribu lenovo na mm.
Mimi nadhani ni majina tu. Binafsi sipendi Dell. Nimetumia Acer, Samsung na sasa Lenovo. Nikiachana na Lenovo ninampango wa kununua Toshiba! Ni utashi tu.
Barasu naomba uniuzie hiyo lenovo yako kama inawezekana.
Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri. Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000. Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb. Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.
Hii Lenovo ya sasa haijamaliza hata miezi mitatu! Kwasasa sina mpango wa kuiuza.
Hiyo iliyo kufa battery unaiuza? na Specs zake zikoje?
...indeed!Misinformation!
Am always using HP for years (since Windows 95 times) and I have no problem!
Corrections
Duo Core = 2processors, 1 Thread per processor = 2 threads at time
Core i3 = 2 processors, 2 threads at a time = 4 threads at a time
Core i5 = 2 processor, 2threads at time (hyperthreading) or just Quadcore with turbo boost = 4threads at a time
Core i7 = 4 Cores, hyperthreading and turbo boost = 8 threads at a time
So most of times i5 and i3 have same number of processor cores.
Nunua Apple!
Baada ya kutumia Dell kwa mwaka mmoja, sina hamu nayo tena! Mbaya zaidi natembelea Dell Community Page nakuta tatizo langu na issue ya wateja wengi, hapo hapo nika-conclude kwangu haikuwa bahati mbaya but the problem with Dell is there!!!Nunua Dell kwa sababu tu ni core i3. kama utapata HP core i3...that would be my preference!
I don't like Dells and don't ask me why 🙂
Nunua Apple!