Laptop ipi itanifaa kati ya hizi ?

Laptop ipi itanifaa kati ya hizi ?

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,146
Reaction score
2,553
Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri.

Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000.

Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb.

Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.
 
Chukua dell,kwa sababu moja TU.....ni Core i3 which means ina processor nne zaidi ya zile mbili za duo core processor,so permanent ya hiyo PC ni faster kwa kazi za kawaida ....ram sio ishu coz umesema zinafanana pia unaweza kuongeza bila tatizo...Kama unataka. Brand chagua Lenovo they are the best,check hat online hapo,dell wana tatizo kwenye batteries zina kufa mapema au hazikai sana na chaji, hp zinapata moto sana.
 
Asante mku kwa uchambuzi wako wa kina.
 
mkuu lenovo ipi iko bomba sana maana na mm nataka kununua mashine
 
Chukua dell,kwa sababu moja TU.....ni Core i3 which means ina processor nne zaidi ya zile mbili za duo core processor,so permanent ya hiyo PC ni faster kwa kazi za kawaida ....ram sio ishu coz umesema zinafanana pia unaweza kuongeza bila tatizo...Kama unataka. Brand chagua Lenovo they are the best,check hat online hapo,dell wana tatizo kwenye batteries zina kufa mapema au hazikai sana na chaji, hp zinapata moto sana.

core i3 = processor 4?
au umekosea kuandika mkuu
 
Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri. Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000. Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb. Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.

Kama una alternative, please don't buy a laptop with a Celeron processor.

"Celeron processors can run all IA-32 computer programs, but their performance is often significantly lower when compared to similar CPUs with higher-priced Intel CPU brands. For example, the Celeron brand will often have less cache memory, or have advanced features purposely disabled. These missing features can have a variable impact on performance, but is often very substantial. While a few of the Celeron designs have achieved surprising performance, most of the Celeron line has exhibited noticeably degraded performance.[SUP][1][/SUP] This has been the primary justification for the higher cost of other Intel CPU brands versus the Celeron range."
 
UGOKO MKAVU ni hivi kaka....duo core Ina processor 2, core i3 Ina processor nne, I 5 Ina Sita na i7 Ina nane...sijui kwa nini zimepewa majina ya namna hiyo but huo ndio ukweli,jaribu kuchek mwenyewe kwa kuangalia ain't ya PC yako alafu bofya alt+ctrl+ del check namba za processor hapo
 
Last edited by a moderator:
Chukua dell,kwa sababu moja TU.....ni Core i3 which means ina processor nne zaidi ya zile mbili za duo core processor,so permanent ya hiyo PC ni faster kwa kazi za kawaida ....ram sio ishu coz umesema zinafanana pia unaweza kuongeza bila tatizo...Kama unataka. Brand chagua Lenovo they are the best,check hat online hapo,dell wana tatizo kwenye batteries zina kufa mapema au hazikai sana na chaji, hp zinapata moto sana.
Hebu tufafanulie zaidi hapo kwenye blue na red. The top 10 Best Laptops "http://www.pcmag.com/article2/0,2817,2369981,00.asp" Inaonenyesha Lenova ni ya chini sn 8 na 9 kati ya 10.
 
Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri. Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000. Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb. Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.

Nunua; Lenovo, Intel Core i5-3230M, G480, RAM 4GB, HDD 500 GB, CPU@ 2.60 GHz, NVIDIA GEFORCE.

Bei yake inawezakuwa ni 820,000 TZS tu.
 
Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri. Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000. Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb. Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.

Mkuu kwa maelezo yako yanachanganya. Kwanza hizo laptop zina specification tofauti kabisa (kwenye upande wa processor) ila vingine vipo sawa.

Kwa kipindi tulichonacho sasa usisunue laptop ambayo processor yake ni chini ya i3 kwa upande wa processor za imtel

hapo nakushauri ununue hiyo dell ila usinunulie city center neda kariakoo utaipata kwa bei ya chini ya hapo
 
UGOKO MKAVU ni hivi kaka....duo core Ina processor 2, core i3 Ina processor nne, I 5 Ina Sita na i7 Ina nane...sijui kwa nini zimepewa majina ya namna hiyo but huo ndio ukweli,jaribu kuchek mwenyewe kwa kuangalia ain't ya PC yako alafu bofya alt+ctrl+ del check namba za processor hapo
Corrections
Duo Core = 2processors, 1 Thread per processor = 2 threads at time
Core i3 = 2 processors, 2 threads at a time = 4 threads at a time
Core i5 = 2 processor, 2threads at time (hyperthreading) or just Quadcore with turbo boost = 4threads at a time
Core i7 = 4 Cores, hyperthreading and turbo boost = 8 threads at a time

So most of times i5 and i3 have same number of processor cores.
 
Habari wana jukwaa, Leo nilikwenda town (city center) kununua new brand laptop. Baada ya kupitia maduka kadhaa kuna brand kama 4 hivi nimevutiwa nazo japo specifications zake zinafanana lakini zimatofautiana bei, nikaamua nisitishe zoezi kwanza ili nipate ushauri. Brand nilizopata ni Dell 3521, processor, INTEL CORE i3 ambayo bei yake ni 635,000, Hp 2000 INTEL CORE bei yake ni 510,000, Accer E1-531, INTEL DUAL CORE, bei yake ni 515,000, na Lenovo G500 INTEL CELERON, bei yake ni 520,000. Specifications zake nyingine zinafanana: screen ni 15.6", Ram 2 gb hdd 500 gb. Naombeni ushauri nichukue ipi ambayo haina usumbufu.
Nunua Dell kwa sababu tu ni core i3. kama utapata HP core i3...that would be my preference!
I don't like Dells and don't ask me why 🙂
 
Wakuu, nashukuru sana kwa ushauri wenu na uchambuzi wa kina.
 
Mimi nadhani ni majina tu. Binafsi sipendi Dell. Nimetumia Acer, Samsung na sasa Lenovo. Nikiachana na Lenovo ninampango wa kununua Toshiba! Ni utashi tu.

samahan mkuu,katika hizo laptop ulizotumia hapo juu,ipi kati ya hizo ulienjoy vya kutosha.. i mean performance, battery kutunza chaji,umadhubuti n.k,, i will really appreciate to hear from u.
 
Back
Top Bottom