Habari za kazi wakuu?
Naomba nipatiwe laptop kwa bei tajwa hapo juu..
Ikiwa medium size itafaa zaidi..
Iwe na uwezo wa kukaa na charge kuanzia masaa matatu na zaidi..
Brand yeyote, kikubwa iwe vizuri kwenye net basi..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.