Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,742
- 40,971
...wapotezee mkuuDuhh sio kwa kushambuliwa huku....watu mna hasira.
Tangazo lako linaonesha Battery inakaa 30 minutes, halafu unadai ina umuhimu unapokuwa nje ya ofisi!!! π π you can't be serious!Mara tumpe mdogo wako...mara mtoto wako ataishangaa..which is which..kwa ushauri tu mimi sio dogo wala hii laptop sio mbovu. Kwa wenye experience na hizi laptop wanajua umuhimu wake unapofanya kazi nje ya ofisn kwenye jua kali, site na mazingira korofi zinavyostahimil mazingira ya outdoor. Watu wa site wanazipenda kwa sabab ni cheap na durable. Ila ngoja nikuache maana you seem young and naive.