Laptop inauzwa 220,000/=

Laptop inauzwa 220,000/=

hector

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
230
Reaction score
759
Laptop inauzwa:
Aina: Dell latitude D610
HDD: 250 GB
Ram: 2GB
Windows 7
DVD/CD/RW capacity
Battery duration: 30 minutes
Location: Dar

Price: 220,000 Tsh
 
Attachments

  • IMG_20190314_082544.jpg
    IMG_20190314_082544.jpg
    128 KB · Views: 45
Hiyo we wape watoto wajifunze kutype na kucheza game za karata

Sent using Jamii Forums mobile app
Man unanipangia matumizi ya laptop yangu...who am i to you..if you are not interested si bora kama ulivyocomment then unapita kimya. Andika chochote kile unachojiskia kuandika ila usinidirect nini cha kufanya
 
Noma sana. Naona watu wametapika sana, hawawezi kupita kimya kimya
Hatar sana. Sijui wanakwama wapi. Maana si lazima eti. Kama mtu hayuko interested Ni bora apite kimya. hamna kisichouzika wala hakuna kisicho na thamani. its a choice sio lazima.Ni free world . Free market
 
Man unanipangia matumizi ya laptop yangu...who am i to you..if you are not interested si bora kama ulivyocomment then unapita kimya. Andika chochote kile unachojiskia kuandika ila usinidirect nini cha kufanya
Dogo punguza hasira na mi sikupangii matumizi bali nakupa ushauri kutokana hii tasnia ya izo vitu

Ni utaratibu ambao hakuna aliyeupanga bali mara nyingi vitu ambavyo vimepitwa na wakati au ambavyo hauna matumizi nayo kuwapa wadogo zako ambao hawana uwezo wa kununua

Mimi nmekuwa nikiwapa wadogo zangu kwa miaka mingi kama ambavyo Mimi nilikuwa napewa

Kuliko kuja hapa kuuza hiyo screpa ambayo hata mtoto wangu wa miaka 4 ukimpa anashangaa

Mara tumpe mdogo wako...mara mtoto wako ataishangaa..which is which..kwa ushauri tu mimi sio dogo wala hii laptop sio mbovu. Kwa wenye experience na hizi laptop wanajua umuhimu wake unapofanya kazi nje ya ofisn kwenye jua kali, site na mazingira korofi zinavyostahimil mazingira ya outdoor. Watu wa site wanazipenda kwa sabab ni cheap na durable. Ila ngoja nikuache maana you seem young and naive.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom