Laptop inajizima yenyewe.

Laptop inajizima yenyewe.

Mkuu ahsante sana kwa mchango wako, laptop inapokua ipo off ukichomeka waya wa kucharge(adapter) lazima kuna kitaa kimoja cha kuonyesha unacharg kitawaka. Sasa kwangu kitawaka lkn baada ya dk 2 kinazima.

Laptop nilichukua dukani mpya kabisa mkuu na haikua na shida yoyote kuna jamaa huwa namwazimisha mara moja moja labda ilipata shida akiwa nayo na akasita kuniambia. Lkn imeanza hilo tatizo ikiwa mikononi kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walau kidogo unatoa mwanga kwa dr. Ili utibiwe.
 
shukrani ila tatizo ni nini?
Hatutoi tatizo kama mganga wa kienyeji. Lazima kufanya uchunguzi ndipo uambiwe tatizo,
Ukweli ni kuwa vitu vyote kwenye laptop vinategemeana. Sasa kinaweza kushindwa kimoja kufanya kazi kikapelekea kingine na kingine hata mashine ikazimika.
Kuwa makini na message inayotokea wakati inazima. Na labda kuna tukio huwa linafanyika ndipp inazima.
 
shida ni hakuna meseji yoyote inayotoa....inajizima tu
 
Ina restart ? Au inazima mpaka uwashe ?
Inachukua muda gani kuwaka ukiiwasha baada ya kujiizima.
hai-restart ikizima mpk uiwashe tena na ukiiwasha inawaka instantly tu
 
Kama upo moshi, nenda kwenye round about ya CRDB. Kwenye barabara inayoelekea juu office za dar express, jengo la kwanza kabisa kutoka round about pandisha ghorofa ya kwanza kuna fundi mzuri sana. Au ulizia mlangoni kwanza maana nimesahau # ya chumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upo moshi, nenda kwenye round about ya CRDB. Kwenye barabara inayoelekea juu office za dar express, jengo la kwanza kabisa kutoka round about pandisha ghorofa ya kwanza kuna fundi mzuri sana. Au ulizia mlangoni kwanza maana nimesahau # ya chumba

Sent using Jamii Forums mobile app
Ghorofa ya kwanza. Anaitwa Elia, upande wa kulia baada yangazi
 
Kompyuta yangu ilikua inafanya hizo kumbe keybord ilikua inasababisha shoti nilipochange tuu tatizo likaisha hivyo sababu ya kujizima zima ni nyingi kama mdau alivyosema hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom