maheda0756
Senior Member
- Oct 27, 2016
- 107
- 156
Wakuu poleni kwa Majukum nina laptop yangu ASUS. Hii machine inajizima yenyewe baada ya kuwaka. Isipojizima ukijaribu kuitingisha au kupiga juu ya keyboard kwa kishindo inajizima. Uki-connect charge bila kuzima ile taa ya kuonyesha kuchaji inawaka baada ya sec kadhaa inajizima. Wajuzi wa hizi kazi tusaidiane nn cha kufanya. Nipo Kilimanjaro kikazi ata sijui fundi mzuri nitampata wapi ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app