Kuna laptop used nimeinunua 'dell precision' ina tatizo ambalo sijawahi kukutana nalo, ukiiweka kwenye chaji inachaji chaji inaingia polepole sana, yaani unaweza ukaspend masaa manne ikaingiza chaji 20% tu, nini inaweza kuwa tatizo?
Charger ya laptop ndio power supply hivyo inategemea na kiasi gani charger yako inaipa laptop. Kama charger inaipa lap to umeme sawa na kiasi kinachotumika usitegemee battery kujaa chaji.
Cha muhimu tafuta adapter/charger hata ya kuazima utest kwenye laptop yako uone kama tatizo litaendelea
Shida charger tu inatoa output ndogo au inatoa output ambayo inakuwa ku consumed wakati una run device yako switch off then sikilizia itajaa kwa muda gani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.