Nina 250,000 na hitaji laptop/mini used yenye 160hdd, 1or2GB ram, na 1.8or2.6ghz processor. Brand yoyote ile. Aliye tayari ani PM
Nimeiona hii post hii sasa nataka kujuwa kama bado unahitajia au ushapata? kama bado unahitajia nipe contact yako yaharaka ili tuongee biashara