Kuna jamaa angu nae alikuwa na shida kama hiyo yeye PC yake ilimwagikiwa na soda ikagoma kuwaka,aliipeleka kwa fundi wakaifungua wakaisafisha safisha ikakaa sawa.