Laptop HP inashida

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
727
Reaction score
1,210
Laptop yangu nikiiwasha mara ya kwanza inawaka ila haioneshi chochote ni taa zake2 zinawaka ila ile ya kusomeka kwa Hdd haiwaki nashikilia button ya power kisha inazima nasubiri kama sekunde 30 naiwasha tena inakubali kuwaka.

Ila tena nkiizima dakika hyo hyo nkaiwasha tena itagoma ntaizima nisubiri sekunde 30 naiwasha tena inakubali mchezo huo.

Wataalamu huo ni ugonjwa wa kitu gani wazee?
 

Random access memory
 
Acha ubahili, peleka kwa fundi hyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…