Laptop hii inachosha sana

Elerai

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
474
139
Habarini ndug zangu wa Jamii Forums . Laptop yangu ni Toshiba C660 Inasumbua sana mpak inachosha ni mwez umepita nlipodownload Mozilla firefox latest nkafanya istallation vzr . Muda wa kuitumia nkaifungua ikasema "open with " nkaenda down kwenye set as a default Browser hapo nkaselect mozilla shabaashi nakuta program zote za computer zina icon ya mozila . Nkifungua office nakuta mozila nkifungua u torrent i met the same problem , kazi imekuwa ngumu hapa kweli yani cjui nifanyeje .Naomba Msaada wa mawazo ya kutengua hichi kitendawili nimejarb kuifuta hyo program ambayo ni default "mozilla firefox "bt bdo program hazifunguk wala hazina icon zake Tafadhali sana ndug Zangu nasubir mawazo yenu
 
refer to https://www.jamiiforums.com/tech-ga...inafungua-program-zote-kwa-word-pad-mode.html
 
Back
Top Bottom