tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,434
Jaribu ku-connect na external display/monitor halafu tujurishe.Laptop yangu ni Brand ya Lenovo. ina umri wa miaka miwili tu. natumia Kaspersky 2013 niliyokuwa nai-update daily. kwa wiki ya pili sasa nikiiwasha inaunguruma na hata mlio wa kuwaka (starting up tune) unalia ila Screen hai-display. nimejaribu kutoa battery mara kadhaa kwa muda tofauti lakini bado tatizo lipo. tatizo laweza kuwa ni nini? suluhisho lake je?
Laptop yangu ni Brand ya Lenovo. ina umri wa miaka miwili tu. natumia Kaspersky 2013 niliyokuwa nai-update daily. kwa wiki ya pili sasa nikiiwasha inaunguruma na hata mlio wa kuwaka (starting up tune) unalia ila Screen hai-display. nimejaribu kutoa battery mara kadhaa kwa muda tofauti lakini bado tatizo lipo. tatizo laweza kuwa ni nini? suluhisho lake je?
nime-connect na external monitor (Desktop ya ofisini) imekubali so ni tatizo la kioo. what next,mkuu?Jaribu ku-connect na external display/monitor halafu tujurishe.
Jamani na mimi nina tatzo kama hilo nmejaribu kutumia external monitor haja respondnime-connect na external monitor (Desktop ya ofisini) imekubali so ni tatizo la kioo. what next,mkuu?
Kama inaonekana inafanya kazi lakini hairespond unapotumia external display tatizo mara nyingi ni video card mbaya.Jamani na mimi nina tatzo kama hilo nmejaribu kutumia external monitor haja respond
Kabla ya kununua kioo mwambie fundi akuangalizie cable/Inverter zinazoconnect kioo na motherboard, km nzima basi tatizo litakuwa kioo.nime-connect na external monitor (Desktop ya ofisini) imekubali so ni tatizo la kioo. what next,mkuu?
Kama inaonekana inafanya kazi lakini hairespond unapotumia external display tatizo mara nyingi ni video card mbaya.
Asante mkuu kwa ushauri wako! Ila nikiwasha pc yangu taa nyingine zinawaka bt ile ya kuonyesha Hdd iko on haiwaki, baada ya muda mrefu ata masaa 10 hdd itaboot na pc inawaka, ukizima tatizo lina rudi vilevile
Umewahi ku-reinstall operating system? Inaweza ikawa HDD imechoka, jaribu kuingiza upya OS ingawa huu ni ushauri wa mwisho mambo mengine yakishindika ila kwa tatizo lako naona ni bora uanzie huko, kwani kusubiria masaa 10 ni sawa na kutokuwa na pc kabisa.Asante mkuu kwa ushauri wako! Ila nikiwasha pc yangu taa nyingine zinawaka bt ile ya kuonyesha Hdd iko on haiwaki, baada ya muda mrefu ata masaa 10 hdd itaboot na pc inawaka, ukizima tatizo lina rudi vilevile
Wewe ndo IT kumbe!?wenzio tunasoma wee kumbe uko humu humu jamviniMimi kama IT nasema hv screen au display kama unvyoiita imeungua,hii inatokana mara nyingi na tatizo la umeme,Asante.ukitizama kwa mbali utaona vitu vinaonekana kwanye screen yako ukiwa umeiwasha so kinachoungua ni taa za kumulikia hivyo vitu vinavyoonyeshwa kwenye screen yako,hapa nimekuingiza class kidogo,solution ni kubadilisha kioo cha hiyo laptop.ambacho kinaweza kugharimu Tshs 100,000-150,000.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wewe ndo IT kumbe!?wenzio tunasoma wee kumbe uko humu humu jamvini