tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,194
- 1,434
Laptop yangu ni Brand ya Lenovo. ina umri wa miaka miwili tu. natumia Kaspersky 2013 niliyokuwa nai-update daily. kwa wiki ya pili sasa nikiiwasha inaunguruma na hata mlio wa kuwaka (starting up tune) unalia ila Screen hai-display. nimejaribu kutoa battery mara kadhaa kwa muda tofauti lakini bado tatizo lipo. tatizo laweza kuwa ni nini? suluhisho lake je?