Laptop haitaki kuwaka msaada tafadhal

lokomu

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
4,916
Reaction score
3,509
Jana mida flani ya saa moja usiku nilikuwa naangalia movie mara ikawa inastuck nikaiRESTART baadae ikagoma kuwaka ikawa inaandika window error recovery nikapress start window normal majibu yake ni hivi BAD POOL HEADER! Nikatumia cd kuirepair window majibu ni startup repair could not detect a problem!! wataalam naomba mnisaidie
 
tupa kabatini baada ya wiki njoo uwashe inawaka... huwa na fanya hivyo ila yangu mara ya mwisho kutupa haikurudi tenaikafa moja kwa moja... ngoja wataalamu waje
 

jamaa upo wapi nije kukufanyia hiyo kazi. 0716-844978
 
boot in safe mode bonyeza F8 si unatumia windows 7 au
 
boot in safe mode bonyeza F8 si unatumia windows 7 au

Nimejaribu lakini, ushauri wa mwisho niliamua tu kumove toka Win7 to Win8 ndo naitumia sasa hivi kinachoniuma Data zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…