HP G5000 Note book,
OS Window xp
Laptop hii ilikuwa ina stuck ni kaona niifanyie system restore, nilipo bofya sysrem restore ikafuta icon zote za desck top na task bar kama wakati inataka kuzima kisha ikastuck hapo kwa dakika kama 15, nikaamua kuiforce kuzima ikazimika.
Nilipo iwasha ikaanza viziru hadi ktk log ya window kisha kikafunguka kiwindow kidogo ktk chenye kusema log on to windows, pia kinasehemu niweke user name na password vitu ambavyo sijawahi kuviset.
Nimejaribu kugoogle bila mafanikio, pia nimejaibu kupress f8 wakati wa kuboot na nikajaribu safe mode imenileta ile ile msg. naombeni mwenye ujuzi na hii majambo anisaidie pleaseeeeeeeeeeeeeeeee
samahani nipo mbali nayo kwa sasa, ila nakumbuka nimejaribu hivyo ikajibu window haiwezi kulog in haitambui user name na password
Mkuu kuna kitu kinaitwa drivers, unacho takiwa ni kutafuta hizo drivers kwenye manufacturers's website... Angalia hizo modem zimetengenezwa na company gani kisha tafuta kama wana website, humo angalia kama wanatoa support za drivers update.Wakuu nashukuru kwa michango yenu, nimejaribu safe mode na administrator bila password imegoma, hata hivyo nimeipiga chini window xp nimeweka window 7, nimeipenda muonekano wake ingawa imeniudhi haisapoti modem za zamani za sasatel.
Naomba ushauri Sijui modem gani nzuri na rahisi kuchakachulika kwaajili ya mitandao ya voda tigo na airtel ili niinunue badala ya hii ya sasatel?
Mkuu kuna kitu kinaitwa drivers, unacho takiwa ni kutafuta hizo drivers kwenye manufacturers's website... Angalia hizo modem zimetengenezwa na company gani kisha tafuta kama wana website, humo angalia kama wanatoa support za drivers update.