N ng'wanishi Member Joined Jan 23, 2012 Posts 34 Reaction score 1 Jul 22, 2013 #1 Ni dell laptop n5010 Inspiron, mara ya mwisho nimeiforce kuizima kwa kuhold start button. Baada ya hapo haitaki kuwaka. Msaada bandungu.
Ni dell laptop n5010 Inspiron, mara ya mwisho nimeiforce kuizima kwa kuhold start button. Baada ya hapo haitaki kuwaka. Msaada bandungu.
M Mchebe Member Joined Jul 20, 2013 Posts 30 Reaction score 4 Jul 22, 2013 #2 Peleka kwa fundi baba. Sasa ww utaiforce vp kuzima kwa huld start button wakati kuna process za kufuata.
Peleka kwa fundi baba. Sasa ww utaiforce vp kuzima kwa huld start button wakati kuna process za kufuata.
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,292 Jul 22, 2013 #3 ukiwasha inaleta error yoyote? na kwa nini uli i force kuzima...nini kilitokea?
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Jul 22, 2013 #4 unplug kila kitu, ondoa mpaka betri halafu re-plug in vyote upya na uiwashe tena. ilikuwaje ukaiforce hivyo? au ulidhani ni katapila hiyo pc?
unplug kila kitu, ondoa mpaka betri halafu re-plug in vyote upya na uiwashe tena. ilikuwaje ukaiforce hivyo? au ulidhani ni katapila hiyo pc?
M masero nackso Member Joined Jul 9, 2013 Posts 50 Reaction score 1 Jul 23, 2013 #5 Pole sana mpelekee fundi tatizo dogo hilo