Mwezi huu nina kamshiko kadogo nakatarajia,moja wapo ya budget zangu ni laptop..maana sometimes nakuwa na mareport yangu ofisini inanilazimu nichelewe kutoka while ningeenda tu kumalizia home.si mtaalam wa brand zipi best,wala toleo..sana sana nachotamani iwe na uwezo wa kukaa na charge kwani mdogo wangu ana toshiba .... yaani ni mpya but haikai na charge..mara nyingi unaitumia charger ikiwa karibu..na pia kwenye moderm ni go kwa type gani ya modern for internet?
Nunua HP au Sumsung ni nzuri sana, nenda kwa huyu 0717189256 atakusaidia na upande wa modem inategemea ni wapi upo kwa ajili ya network nzuri, kwa ujumla ya voda ni nzuri pia.
Mwezi huu nina kamshiko kadogo nakatarajia,moja wapo ya budget zangu ni laptop..maana sometimes nakuwa na mareport yangu ofisini inanilazimu nichelewe kutoka while ningeenda tu kumalizia home.si mtaalam wa brand zipi best,wala toleo..sana sana nachotamani iwe na uwezo wa kukaa na charge kwani mdogo wangu ana toshiba .... yaani ni mpya but haikai na charge..mara nyingi unaitumia charger ikiwa karibu..na pia kwenye moderm ni go kwa type gani ya modern for internet?
Hata mimi nazikubali toshiba lakini kama una uwezo tafuta mac. Bajeti yako mi kiasi gani?
Tafuta yenye specification kama:
RAM: 2 GB au zaidi
HARD DISK DRIVE: 250 au zaidi
Processor: Duo(doubled) au zaidi
BITS: 64
MODEM: Nunua huawei za voda ni rahisi kuchakachulika ukatumia line yeyote.
thanks fadhili Paulo budjet yangu ni around laki 7
Check na Apple, Toshiba, au Dell. Suala la Laptop kukaa na charge inategemea na task unayoifanya kwa wakati huo, kwa mfano kama unachapa kaz yoyote na hufanyi kingine waweza tumia dakika kati ya 20 hadi 45 ila kama una-play music au movie au una-access internet utatumia kati ya dakika 15 hadi 30.
Lakini ktk kutumia laptop unashauriwa kutoichomoa kwenye umeme hadi umalizapo kazi zako. Hii inasaidia betri yake kudumu kwa maana kua inapokua imejaa, laptop ina automatic mechanism ya kudisconect betri kwenye umeme na kuanza kutumia direct umeme from the source.
Kuhusu modem nakushauri uchague mwenyewe aina ya mtandao utakaoona unafaa. Kwa ujumla hakuna mtandao ulio bora kuliko mwingine.
Kila laheri.
dell bado wapo juu hasa kama una uwezo ukipata dell vostro au kama uwezo wako ni wa kawaida dell inspiron(yenye double processor ni the best).Mwezi huu nina kamshiko kadogo nakatarajia,moja wapo ya budget zangu ni laptop..maana sometimes nakuwa na mareport yangu ofisini inanilazimu nichelewe kutoka while ningeenda tu kumalizia home.si mtaalam wa brand zipi best,wala toleo..sana sana nachotamani iwe na uwezo wa kukaa na charge kwani mdogo wangu ana toshiba .... yaani ni mpya but haikai na charge..mara nyingi unaitumia charger ikiwa karibu..na pia kwenye moderm ni go kwa type gani ya modern for internet?
Mwezi huu nina kamshiko kadogo nakatarajia,moja wapo ya budget zangu ni laptop..maana sometimes nakuwa na mareport yangu ofisini inanilazimu nichelewe kutoka while ningeenda tu kumalizia home.si mtaalam wa brand zipi best,wala toleo..sana sana nachotamani iwe na uwezo wa kukaa na charge kwani mdogo wangu ana toshiba .... yaani ni mpya but haikai na charge..mara nyingi unaitumia charger ikiwa karibu..na pia kwenye moderm ni go kwa type gani ya modern for internet?
Laptop inayokaa chaji Dakika 45 ukiwa waangalia movie hiyo betri inkuwa imechoka ten sana.
Kama unanunua laptop kwa ajili ya kuchapa na Internet huihitaji kuifanyia kazi kubwa basi Nunua laptop yenye vigezo cya Kati Kwani itkusaidia kukaa na chaji zaidi
Jinsi laptop inabyokuwa na capacity kubwa ndivyo hata capacity ya betri kukaa na chaj invyppungua japokuwa pia uwezo wa betri kutunza chaj kunategemea cells betri lilizo nazo.
Kwangu nakushauri go for Hp au Dell kama mfuko unruhusu sana go for mac