Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,542
- 7,377
Duh hili tatizo sijawahi kulioana ndio kwanza mara ya kwanza kunitokea. Yaani ni kama zile taa zinazoleta mwana kuona kwenye screen ya laptop zimezimika, kwa hiyo mpaka nichungulie sana ndipo naona icon na maneno, sasa sijui nitaziwasha vp hizo taa za pepmbeni. Button ya mwanga nimeongeza hadi mwisho lakini lap ina giza bado. AU ndo kusema display imekufa?? Hembu mwenye kujua anipe ushauri how to proceed coz inaninyima raha sana.
My Regard
My Regard