Laptop data recovery

andycachy

Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
83
Reaction score
18
Wadau nilikua na data zangu muhimu sana kwenye laptop nikazi cut na ku paste kwenye flash disk sasa bahati mbaya imepotea hiyo flash ninawezaje kuzipata tena ? Nimejaribu system recovery imekataa haikuwa imetengenezwa recovery point please naomba msaada wenu hapa natanguliza shukrani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Kama hujai chokonoa sana ...tumia getdataback dos au ntfs...depending on your filesystem
Data Recovery Software Products - Runtime Software Products
Runtime.GetDataBack.for.NTFS.and.FAT.v4.25.Full.regkey.rar
 
asante sana ila name na password ya hii program imekataa invalid unaweza nisaidia key nyingine ya recover my files ?
zinakubali endapo hutafanya update baada ya kuinstall...so cha kufanya ...i unstall kisha restart pc then usi connect net kwanza ...install weka keys then ndo unaweza kuendelea...ikitaka updates cancel..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…