Laptop Brand New Inahitajika

Laptop Brand New Inahitajika

Mbushuu

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
2,180
Reaction score
3,421
Iwe na specification zifuatazo
Procesor i5 core
Ram 4Gb
HDD 500
Dvd rw
Webcam
Bajeti yangu ni 500,000
 
Mkuu nadhani kama utafanikiwa hata used yenye intel core i5 kwa hiyo bei utakuwa na bahati sana. Labda kwa zile fake za kichina,lakini kama unatafuta kitu genuine kwa bei hiyo,nakutakia kila la kheri kuishi kwa matumaini.
 
Vip kuhusu i3
 
Kwa kubahatisha sana unaweza ukapata used ya i3 kwa budget yako mkuu,lakini kama uko serious kupata laptop nipe 2 to 3 days nikuangalizie kitu kizuri kulingana na specs na pia budget yako.
 
Ok poa kiongoz ukipata jst pm
 
Mkuu nadhani kama utafanikiwa hata used yenye intel core i5 kwa hiyo bei utakuwa na bahati sana. Labda kwa zile fake za kichina,lakini kama unatafuta kitu genuine kwa bei hiyo,nakutakia kila la kheri kuishi kwa matumaini.
Vip kuhusu i3

kwa hela hio i i i i sahau hata used ww hapo hata Dos mpya ni ngumu, otherwise kama alivyokwambia mdau hapo utapata ya mchina then in two weeks unanunua nyingine is up to you ubahili mwingine ni gharama, mimi naweza kukupa machine genuine na warant ya two years za UK Tsh 950,000/= kama uko tayari ni PM
 
Iyo bei yako watoto watalala njaa kiongozi
 
check post zangu....ukikuta inayokufaa..check na mimi kwenye simu....ila ukipata iyo uliyoitaja hapo juu kwa bei yako...chukua pia namba yangu....ninawajua mafundi wazuri wa laptop watakusaidia baada ya mwenzi mashine ikianza yake
 
Hivi jama hizo laptop za Tanzania zinazouzwa bei ya chini kuliko UK, USA, Germany zinatoka wapi?
 
Mkuu nadhani kama utafanikiwa hata used yenye intel core i5 kwa hiyo bei utakuwa na bahati sana. Labda kwa zile fake za kichina,lakini kama unatafuta kitu genuine kwa bei hiyo,nakutakia kila la kheri kuishi kwa matumaini.
Vip kuhusu i3

Hivi jama hizo laptop za Tanzania zinazouzwa bei ya chini kuliko UK, USA, Germany zinatoka wapi?

Zinatoka China na zinafanya kazi vizuri tu. Watu wameaminishwa vibaya na bidhaa kutoka China. Ukweli ni kuwa bidhaa za kieletroniki kutoka China ni bidhaa salama tu, matumizi yako ndiyo mhimu. China wanauza laptop marekani pia wanauza ulaya. Mchina anatengeneza vitu kwa mjibu wa bajeti ya Mteja.
 
Back
Top Bottom