Lapf

kamsongole

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
111
Reaction score
15
Jamani kama kuna anayefahamu kuhusu hawa LAPF atujuze maana ni kitambo tangu ile interview ya duce. au walishaita? msaada wapendwa.
 
Bado mkuu, subira yavuta kheri

Kwan kuna nini mbona kimya kirefu ? Coz nilishawah kusoma hapa jamvin kwamba wameshamaliza kila kitu na watu 9 ndio waliopata above 50 out of 100 sasa toka muda huo mpaka leo bado kimya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…