LAPF wanaita oral interview Dodoma

Ni kweli mi nimepigiwa sasa HV. .BT wameniambia cjafanikiwa nijaribu tena nafasi zikitoka.

Mimi wamenipigia jana saa 10 wakaniambia pia sikufanikiwa, wako vizuri sana hawa jamaa angalau mtu wajua mustakabali wako mapema kuliko kubaki hujui kinachoendelea
 
Mimi wamenipigia jana saa 10 wakaniambia pia sikufanikiwa, wako vizuri sana hawa jamaa angalau mtu wajua mustakabali wako mapema kuliko kubaki hujui kinachoendelea

haya wadau,mi sina budi kuwatakia heri waloitwa tayari jamani.inawezekana watapiga kwa wote wasiofanikiwa na kuwataarifu juu ya kutofanikiwa huko.
 
waliofanya oral interview tupeni feedback interview ilikuwaje?
 
Umejuaje kma wameitwa watu 40 tu, wakati kila mtu anapigiwa simu kimpango wake???
 
Kumbe kuuliza swali pia ni ubishi Raqeeb.

Kaka walioitwa oral pale ni 40 kwa hii post HR wao kaongea mbona na paneli ilikua moja tu then kidizaini flan wako smart coz wanazo zile papers na pasport size wanakucheck kwny picha then wanakuita una ingia ndani unapiga oral interview!
 
hongra mkuu, haya MKULIMA MASKII, Tuambie wewe sasa .ora nyingine lin, coz ulipinga san hi zoezi best
 
Vp jamani watu wameshaitwa kazini. Mana ni muda mrefu sasa tangu usaili wa oral ufanyike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…