lUnajua kwanini unasaka maslahi zaidi,sababu CPAs tumekuwa wengi kwahiyo tunalipwa pesa kidogo tofauti na zamani, law of demands and supply,sasahivi kuna watu wengi tu wana kazi za kawaida saana mfano bank tellers ambao ni CPAs
holders tena CPAs zao ni muda tu wanasaka ajira na wengine hawana kazi kabisa