10% mipigo itapatikanaje?Naungana na mleta uzi.
Wanachokifanya LAPF ni makosa kwa sababu kadhaa.
1. Kwanza, kwa mujibu wa mwongozo wa BOT hawa LAPF hawaruhusiwi kutoa pesa moja kwa moja kwa mtu yeyote. Kila senti kutoka LAPF kwenda kwa mtu yeyote lazima ipitie benki.
2. Pili, kanuni za SSRA zinawakataza kufanya wanachofanya sasa hivi.
3. Na tatu, utaratibu wao hauendani na kanuni za financial risk assessment and mitigation. Kanuni hizi zinasema: kabla ya kutoa mkopo lazima kujuridhisha kuwa anayekopeshwa anayo dhamana (collateral) yenye uwezo wa kufidia fedha pindi lolote likitokea.
LAPF tafakarini matendo yenu....
gazeti gan hilo mkuu na la mwaka ganUwii LAPF mtatuuuaaaa
Jamani jamani, ngoja niwape hii. Ukweli huu tusiupuuze. Wanyamakua wana msemo kwamba mdharau mwiba, guu huota tende. msidharau kabisa hii. Hali ni mbaya. Someni hii cutting...
Kuna hatari kubwa hatua zisipochukuliwa.
Rais Magufuli hebu tuokoe baba yetu. Tutakosa mwana na maji ya moto
Hapa ni wizi mtupu. Ni jipu, lazima serikali iwe makiniHawa LAPF ni jibu. Yaani wao kazi kujiingiza kwenye mafao ya kupiga pesa. Hii ni sawa na mikopo iliyokuwa ikitolewa na Meridian Biao Bank na Barclays na hata StanChart, kwamba wanategeneza majina feki, akaunti feki, kampuni feki, waidhinishaji feki na mwisho wa siku wanapiga hela. Tena sio wale mabosi tu, hata vidampa, wanaozunguka kusaka vijana feki.
Tena naomba serikali isiwape kabisa hawa wafanyakazi wapya wanaoajiriwa. Wooteeee waende maeneo mengine, hasa ifuko yenye akili, inayojitambua. Ipo suala ni kufuatilia tu na kujua ipi ni sahihi.
Hili fao hatari sana. Liondolewe.
Ewe baba Magufuli, waangalie hawa na ikikupendeza watumbue woooooteeeee.
Duuuh ahsante kwa taarifa muhimu mkuu...Hawa LAPF ni jibu. Yaani wao kazi kujiingiza kwenye mafao ya kupiga pesa. Hii ni sawa na mikopo iliyokuwa ikitolewa na Meridian Biao Bank na Barclays na hata StanChart, kwamba wanategeneza majina feki, akaunti feki, kampuni feki, waidhinishaji feki na mwisho wa siku wanapiga hela. Tena sio wale mabosi tu, hata vidampa, wanaozunguka kusaka vijana feki.
Tena naomba serikali isiwape kabisa hawa wafanyakazi wapya wanaoajiriwa. Wooteeee waende maeneo mengine, hasa ifuko yenye akili, inayojitambua. Ipo suala ni kufuatilia tu na kujua ipi ni sahihi.
Hili fao hatari sana. Liondolewe.
Ewe baba Magufuli, waangalie hawa na ikikupendeza watumbue woooooteeeee.
Kwenye hiyo number tatu naomba nikuulize kitu mkuu.... Kwani mkopo hautakatiwa bima kwa ajili ya lolote litakalo tokea???Naungana na mleta uzi.
Wanachokifanya LAPF ni makosa kwa sababu kadhaa.
1. Kwanza, kwa mujibu wa mwongozo wa BOT hawa LAPF hawaruhusiwi kutoa pesa moja kwa moja kwa mtu yeyote. Kila senti kutoka LAPF kwenda kwa mtu yeyote lazima ipitie benki.
2. Pili, kanuni za SSRA zinawakataza kufanya wanachofanya sasa hivi.
3. Na tatu, utaratibu wao hauendani na kanuni za financial risk assessment and mitigation. Kanuni hizi zinasema: kabla ya kutoa mkopo lazima kujuridhisha kuwa anayekopeshwa anayo dhamana (collateral) yenye uwezo wa kufidia fedha pindi lolote likitokea.
LAPF tafakarini matendo yenu....
Ninavyojua mie, hata kama utakuwa na bima, zipo taratibu za kufanya walipwe na sababu hizo ni kifo, ulemavu wa kudumu. Yawezekana zipo sababu zingine.Kwenye hiyo number tatu naomba nikuulize kitu mkuu.... Kwani mkopo hautakatiwa bima kwa ajili ya lolote litakalo tokea???