LAPF call for aptitude test

LAPF call for aptitude test

Mkuu2015

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
65
Reaction score
15
Habari!

Nakumbuka zilitangazwa kazi kati ya mwezi machi na wa nne mwaka huu! yeyote aliye na taarifa za interview naomba atujuze..
 
Habari!

Nakumbuka zilitangazwa kazi kati ya mwezi machi na wa nne mwaka huu! yeyote aliye na taarifa za interview naomba atujuze..

Bado hawajaita kiongozi wakiita majina utayaona kwny web yao na hata magazetini wanatoa hawa sio kama PPF wala NSSF ambao wanatuma sms (informations from reliable sources) tuendelee kuomba mungu
 
Vp PPF nao hawajaanza kuita watu kwny interview ya pili?.. mwenye taarifa plz atujuze
 
bado hawajaita wahanga wenzangu, tutulieni tu, na ninahisi interview saiv itapigwa makao makuu yao dodoma huko
 
Total applicants waliomba compliance officer ni 7000 post ni 4 you better pray a lot kupata hii nafasi
 
Raqeeb upo mshikaji wangu,vip majib ya DUCE?

Nipo kiongozi sijapata updates zozote ila hawa jamaa PPF hata siwaelewi interview ile unasahihisha week2 dah yan hatari na mtaani huku hali ishakuwa mbaya sana coz batch jingine la graduates lina ingia kuanzia mwezi wa 8! Vichwa vinauma kiongozi
 
Habari!

Nakumbuka zilitangazwa kazi kati ya mwezi machi na wa nne mwaka huu! yeyote aliye na taarifa za interview naomba atujuze..

Hiki kichwa cha habari umeandika kama vile unatoa taarifa ya kuitwa kwenye interview kumabe unauliza swali, Mweh..........Kweli hali huku mtaani ni mbaya Mungu tusaidie.
 
siyaoni mkuu kama vipi tuwekee hapa
asikuzingue huyo,LAPF makao makuu ni dodoma mtendeni street,hawajatoa bado ila sasahivi ndo wako wanapanga short list,waliioomba walikuwa ni wengi,bahasha za maombi zilikuwa takribani boksi12,....(from reliable source)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom