Language /spell checker ya kiswahili kwenye cms | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Language /spell checker ya kiswahili kwenye cms

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Feb 23, 2012.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu teknolojia niakua lakini lluga yetu ya kiswahili bado kiko nyuma. Kama watanzania tunatakiwa tuuganishe nguvu na tushirkiane na kujitolea japo tuwe na ka gruop hapa JF ili tutengeze Swahili language pack kwa baadhi ya CMS kama wordpress, Joomla, V bulettin, Druplal etc .......

  Itapendeza viongozi wa jf pia awe mdau sababu hata hii foum yetu ya JF inahitaji spell chekcer ya kiswahili. Kwa sisi wachapiaji itatusaidia sana

  Sijui mnasemaje wanatekniki

  NB
  zaidi ya knowledge nadhani hii itakuwa ni volunteering
   
Loading...