Jamesh Member Joined Jul 15, 2008 Posts 31 Reaction score 2 Mar 26, 2011 #1 Wakuu nahitaji kununua Land rover Discovery ya diesel iwe ya kuanzia mwaka 1997 na kuendelea. Iwe kwenye hali nzuri, Ofa yangu ni Tsh 9milioni.
Wakuu nahitaji kununua Land rover Discovery ya diesel iwe ya kuanzia mwaka 1997 na kuendelea. Iwe kwenye hali nzuri, Ofa yangu ni Tsh 9milioni.
Hebrew JF-Expert Member Joined Jul 3, 2008 Posts 562 Reaction score 171 Mar 29, 2011 #2 TDI au TD5? Kwa pesa hiyo utapata TDI ambayo haitakuwa nzuri. Nakushauri ongeza pesa ununue TD5
Jamesh Member Joined Jul 15, 2008 Posts 31 Reaction score 2 Mar 29, 2011 Thread starter #3 Hebrew said: TDI au TD5? Kwa pesa hiyo utapata TDI ambayo haitakuwa nzuri. Nakushauri ongeza pesa ununue TD5 Click to expand... Asante mkuu kwa ushauri, mimi sio mtaalamu sana wa magari lakini kwa nini unasema TDI sio nzuri kuliko TD5? zina tofauti gani? Je TD5 inaweza ikapatikana kwa bei gani maana bajeti yangu sio kubwa sana?
Hebrew said: TDI au TD5? Kwa pesa hiyo utapata TDI ambayo haitakuwa nzuri. Nakushauri ongeza pesa ununue TD5 Click to expand... Asante mkuu kwa ushauri, mimi sio mtaalamu sana wa magari lakini kwa nini unasema TDI sio nzuri kuliko TD5? zina tofauti gani? Je TD5 inaweza ikapatikana kwa bei gani maana bajeti yangu sio kubwa sana?
Papa Diana JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 304 Reaction score 22 Mar 29, 2011 #4 hii inafaa 2000 LAND ROVER DISCOVERY 2.5 Td5 ES 5 Seat 5dr Auto Diesel Sw 2000 LAND ROVER DISCOVERY 2.5 Td5 ES 5 Seat 5dr Auto Diesel Sw
hii inafaa 2000 LAND ROVER DISCOVERY 2.5 Td5 ES 5 Seat 5dr Auto Diesel Sw 2000 LAND ROVER DISCOVERY 2.5 Td5 ES 5 Seat 5dr Auto Diesel Sw