Poleni na majukumu wadau. Ninauza gari yangu Landrover 110 station wagon, diesel engine, inatembea ila inadaiwa kwa miaka mitatu kiasi cha tsh 930,000/= Bei ni tsh 5,000,000/= Gari ipo Mtwara na inauzwa kama ilivyo. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane.
tunaojua magari hiyo ndio yenyewe najua ina miaka si chini ya 20 lakini kwa bei hiyo ni sawa kabisa hiyo defender matata sana ,ngoja nikipata hela kama bado ipo ntakutafuta

MTK msumbiji hawatumii hizi wao wanatumia zaidi landcruisers. Kwa wengine wote gari hiyo haivuji kama mnavyodhani nadhani kama mtu angepata nafasi ya kuiona angewaelezea vizuri zaidi ilivyo. Sababu za kuiuza ni kwamba nipo busy sana na kazi za kiofisi sina muda wa kuitumia ni bora nimuuzie mtu ambae ataitumia kwangu muda mwingi inakuwa imepaki.