Landcruiser prado for sale at cheap price

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,263
2,000
crap ad

model, make, mileage, accessories, other prime options, photos etc

be specific with your ads
 

Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,616
2,000
crap ad

model, make, mileage, accessories, other prime options, photos etc

be specific with your ads

Unamfanya mwenzio aogope siku nyingine kutoa tangazo au maada,ungemsaidia namna nzuri ya kutoa tangazo lake angefarijika na kujifunza.
 

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,193
2,000
Unamfanya mwenzio aogope siku nyingine kutoa tangazo au maada,ungemsaidia namna nzuri ya kutoa tangazo lake angefarijika na kujifunza.
'

That is what he/she deserves.

80m bei poa!!!

Hivi unajua Landcruisser ziko aina Ngapi?

I may say this is the worst advert I have ever read here!
 

Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,518
2,000
ni kweli bei poa as long as ur customerz ni wazee wa vijisent...right advert on a verrrry wrong place and time
 

Mnandi

Senior Member
Aug 30, 2011
156
225
ungesema 8,000,000/= ingekuwa ndo bei poa nisingejali kama umetupia tangazo hovyo ningekuPM tufanye biashara this instance'.....!!! :brick:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom