LENJENTZ
Member
- May 21, 2013
- 69
- 10
hivi mnajielewa mnadhani land surveyor mwenye uzoefu ni kama vitumbua vya soko mjinga kana kwamba unaenda tuu kwa mama muuza unamwambia funga viwili....,jielezeni nyie ni akina nani,ofis zenu ziko wapi? na mnafanya nini na ikiwezekana mnalipa bei gani.eti tunahitaji land surveyor mwenye uzoefu tuma cv hapaa unafikiri wote wana njaaa pelekeni kule.
Tunamshukuru mkuu kwa Maneno yako ila tulipata wenye uzoefu JF ni sehemu ya kila mtu hata wenye uzoefu humu wapo piahivi mnajielewa mnadhani land surveyor mwenye uzoefu ni kama vitumbua vya soko mjinga kana kwamba unaenda tuu kwa mama muuza unamwambia funga viwili....,jielezeni nyie ni akina nani,ofis zenu ziko wapi? na mnafanya nini na ikiwezekana mnalipa bei gani.eti tunahitaji land surveyor mwenye uzoefu tuma cv hapaa unafikiri wote wana njaaa pelekeni kule.